NG'OMBE WANNE WAGONGWA NA GARI MKOANI KILIMANJARO NA KUFA PAPOHAPO, ILA HAWAJATOA DAMU BALI WAMETOA MAJI...!


Ni ajali ya kipee kabisa, Chanzo cha habari kikiieleza Website hii  kwamba gari la Hassani Trans linalo toka Moshi kwenda mererani limegonga ng,ombe wanne na kuwauwa wote papohapo.


Ila hakuna abiria aliyeumia wala kufariki dunia cha ajabu ni mifugo hao 4 hamna alie toa damu hata mmoja hilo limeleta gumuzo katika eneo la tukio,

Yani Ng'ombe wamegongwa wakafa bila kutoa damu na balada yake wakatoa maji kama wanavyoonekana hapo pichani. Wakazi wa kijiji cha
KIA njia panda ya uwanja wa Kilimanjaro International Airpot KIA wabaki na alama ya kuuliza (?)Imeripotiwa na Afande wa Ust taifa (Dj Tindo) Kutoka kia.Written By: Masai Nyotambofu


Du!



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo