Madereva wa daladala jijini Mwanza leo wameamua kugoma kutoa huduma hiyo muhimu kwa jamii wakiishinikiza serikali kupandisha nauli na kupunguza faini pindi wanapokamatwa na askari wa usalama barabarani....
Baada
ya mgomo huo kuanza, abiria walimua kutumia Malori, baiskeli,
Toyo Kilimo na pikipiki kama njia mbadala ya kusafiria.






