WANAWAKE UCHINA WAKAMUA MAZIWA YAO KUTENGENZA SABUNI, TAZAMA PICHA ZOTE HAPA

 
Wamama nchini China wameonywa kuacha mara moja tabia ya kutengeneza sabuni za kuogea kutokana na maziwa yao wenyewe. Yaani maziwa yanayotakiwa kunyonyeshea watoto wao, wamama hawa wakiChina wanatengenezea sabuni....

Imegundulika kuwa wakina mama wengi nchini China wanatengeneza sabuni hizi na kuziuza huku 

madaktari wakizipiga marufuku.

Via prudence gerald blog


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo