Hili
ni basi la MBEYA Express inayofanya safari toka MBEYA mpaka Sumbawanga
baada ya kuchomoka tairi za nyuma upande wa dereva na kutembea bila
tairi umbali wa mita 320 baada ya kuvuka tunduma kuelekea Sumbawanga.
Namshukuru Mungu alitutetea na wote tukatoka wazima. Tulifika Sumbawanga
saa moja jioni.
Acheni Mungu aitwe Mungu.
PICHA NA MDAU WETU OMEGA KAGINE
