Nazi
ikiliwa na binadamu hugeuza aina hizo za mafuta kuwa tindikali ambayo
kitaalamu huitwa ‘medium chain fatty acids’ au kwa kifupi (MCFA’s)
ambazo huua na kutokomeza virusi vya aina mbalimbali mwilini. Hivyo dawa
hii ni chakula na ilitengenezwa maalum kwa waathirika ambao hawana
uwezo wa kupata dawa za hospitali ARV’s lakini pia ni nzuri kwa wale
ambao wanatumia dawa hizo kwani matokeo ya afya njema hupatikana haraka
mno.
Tui la nazi
Matumizi ya nazi kama tiba kwa waathirika wa virusi duniani yalilipuka kwa kasi mwaka 1990 mara baada ya mtafiti wa tiba kutoka Iceland, Bw. Halldor Thormar, kubaini maajabu ya tiba hii.
Waathirika wa virusi vya aina mbalimbali duniani waliotumia nazi
walitoa ushuhuda wao wa namna walivyopata nafuu mara baada ya kutumia
nazi kama tiba. Licha ya kuponya maradhi waliyokuwa nayo, iliwaboreshea
afya zao na kuonekana kana kwamba si waathirika tena.
Dozi yake ni rahisi, unywaji wa glasi nne za tui la nazi kwa siku au
vijiko vinne vya mafuta ya nazi kila siku kwa muda wa kati ya miezi
mitatu hadi minne, huweza kuondoa maradhi yote yanayosababishwa na
virusi mwilini na pia kung’arisha ngozi na kuifanya kuwa nyororo.
Ushahidi wa faida ya nazi kama urembo upo kwa mabinti wa Kizaramo
wanaowekwa ndani na kuchuliwa mwili mzima kwa machicha ya nazi kwa miezi
kadhaa, ambapo wanapotoka nje huonekana warembo wenye ngozi nyororo
waliyoipata kiasili bila kutumia ‘krimu’ au mafuta mengine ya gharama.
Kama sote tujuavyo, virusi vya Ukimwi hudhoofisha kinga ya mwili.
Mwili unapokosa kinga hushindwa kuzuia virusi vya aina nyingine
kukushambulia. Kwa kawaida tiba ya virusi huwa ni zile dawa zenye uwezo
wa kushambulia virusi (antiviral), bakteria (antibiotic) na zile za
kushambulia fangasi (antifungus).
Hata hivyo, dawa hizo ni kali sana kiasi cha kuwaumiza watumiaji na
huwa na madhara (side effects) zinapotumiwa kwa muda mrefu, ukiachilia
mbali gharama zake ambazo mwathirika mwenye kipato cha chini hawezi
kuzimudu.
Lakini unaweza kujitibu maradhi yatokanayo na virusi kwa njia rahisi
na salama. Kula nazi kwa wingi kadiri uwezavyo, kama ni muathirika basi
anza kunywa tui la nazi glasi nne kwa siku na utaona maajabu ndani ya
miezi mitatu tu. Kama tayari una vidonda visivyopona basi paka mafuta ya
nazi kila utokapo kuoga, na matokeo utayaona bayana.
Hata hivyo tunajua kuwa si watu wote wako kwenye mazingira ya kupata
nazi kirahisi au kupata nazi bora yenye virutubisho vinavyotakiwa. Hivyo
tunawaomba msisite kuwasiliana nasi tuwape maelekezo ya kupata dawa hii
iliyotengenezwa kusaidia kupambana na makali ya virusi hivi vya
HIV/AIDS kwa bei rahisi ya shilingi 5,000/= kwa dozi ya siku tatu,
shilingi 10,000/= kwa doya wiki na shilingi 40,000/= kwa dozi ya mwezi.
Hii ni kumaanisha kuwa kwa shilingi 120,000/= mgojwa anaweza kabisa kuwa
na afya njema kwa dozi ya miezi mitatu tu. Karibuni sana tunapatikana
karibu kabisa na geti la nyuma la karakana ya TAZARA barabara ya Nyerere
maeneo ya Kiwalani migombani Dar Es Salaam.
Karibuni sana
John Haule
0768 215 956