PICHA YA MITEGO YA MPENZI WA D'BANJ ILIYOZUA GUMZO BAADA YA KUIACHIA MTANDAONI..!!


Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Dapo Daniel Oyebanjo maarufu kama D'banj ambaye siku za hivi ameingia mkataba mnono na kampuni ya Sony Entertainment Africa ametengena na Mchuchu wake wa muda mrefu kidogo Jennifer Obayuwana na kuanzisha mahusiano mapya na mrembo mpya Yaris Sanchez ambaye akatupia picha za Mitego huko Twitter.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo