Katibu wa CCM mkoa, Menga
Hassani amelipongeza jeshi la polis mkoa wa iringa kwa kufanya kazi yake kwa
ufasaha.
Hayo yameyasema na
mwenyekiti huyo baada ya jeshi la polisi kuwakamata baadhi ya viongozi wa chama
hicho kwa kuzidisha muda wakati wa mikutano .
Wakati huohuo
amevitaka vyama vya kisiasa vinavyofanya mikutano kutii sheria zilizowekwa na
serikali ikiwa na kufuata muda ambao umepangwa.
Hata hivyo kuhusiana
na tukio hilo kutokea amesema ni tatizo la kupishana kwa muda baina ya viongozi
wa chama na jeshi la polisi.