Mgana
Msindai (Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM) ametoa siku 7, kwa mwenyekiti
wa mkoa wa Geita amwombe msamaha kwa kumtuhumu kuwa "Alikuwa amelewa
pombe" siku alipomuunga mkono Edward Lowassa kwa kuwaletea wananchi wake
maendeleo!
KUMEKUCHA CCM, MSINDAI ATOA SIKU 7, LA SIVYO ATAMPELEKA MTU MAHAKAMANI
By
Edmo Online
at
Friday, January 17, 2014
