Mwalimu
mkuu anayetuhumiwa kumlawiti mwanafunzi wake ambaye ni yatima amekamatwa
usiku huu baada ya mbeya yetu blog kutoa habari hiyo kwa kina mapema
leo, kikosi kazi Cha Mbeya yetu kinaendelea kufuatilia habari hii kwa
ukaribu na tutawaletea tukio zima hapa hapa.
Endelea kufuatilia
Picha na Mbeya yetu