MAREHEMU NELSON MANDELA KUZIKWA DESEMBA 15 MWAKA HUU

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amesema kuwa Marehemu Nelson Mandela atazikwa tarehe kumi na tano mwezi Disemba katika eneo la Qunu mkoa wa Estern Cape. 

Taarifa zaidi zitakujia hivi punde


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo