DOWNLOAD/SIKILIZA WIMBO MPYA JOHN WOLKER & RAS LION - MKORA

Baada ya ukimya wa muda mrefu sana sasa wasanii wanaoigiza ni walevi Joni Woka na Ras Lion Warudi tena... Round hii waja na ngoma yao mpya inaitwa 'Mkora'. Tunawashukuru sana wote wanaoendelea kutusupport kutoka kipindi kile cha 'Sofia' na 'Bitozi' mpaka leo. Tumepanga mengi sana kwa ajili ya mashabiki wetu...


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo