CCM YAFUNIKA MKUTANO WA HADHARA MBEYA MJINI

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi katika  mkutano wa hadhara uliofanyika leo jioni kwenye viwanja vya Ruanda Nzovwe, Mjini Mbeya leo jioni
 Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye viwanja vya Ruanda Nzove kwenye mkutano huo
 SOTE NI CCM:  Wananchi wakimpungia mikono Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye alipowahutubia  maelfu ya wananchi katika mkutano huo
 Nape akisisitiza jambo kwenye mkutano huo
 'Tanzania, Tanzaniaaaa Nakupenda kwa moyo woteee...." Nape akiimba pamoja na wananchi wimbo huo wa kuamsha ari ya uzalendo katika baada ya kuwahutubia maelfu ya watu kwenye mkutano huo.
 Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Mbunge Mteule Dk. Asha-Rose Migiro akihutubia maelfu ya wananchi kwenye mkutano huo

 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akionyesha alama ya dole dumba ya CCM, kuonyesha kuwa mambo safiiii, alipokuwa akienda kwenye mkutano huo kwa kutumia bajaj
  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akionyesha alama ya dole dumba ya CCM, kuonyesha kuwa mambo safiiii, alipokuwa akienda kwenye mkutano huo kwa kutumia bajaj.(PICHA ZOTE NA CCM)


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo