TANESCO YATANGAZA MGAWO WA UMEME NCHI NZIMA KUANZIA KESHO JUMAMOSI

Shirika la umeme nchini TANESCO limetangaza rasmi kuanza kwa mgawo wa umeme kuanzia kesho Jumamosi Novemba 16.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, afisa uhusiano wa TANESCO Bi Badra Masoud amesema mgawo huo utahusisha mikoa yote iliyounganishwa na gridi ya taifa

Amesema sababu ya kuanza kwa mgawo huo ni kutokana na kupungua kwa gesi kutokana na matengenezo yanayoendelea katika vinu vya gesi huko Songosongo mkoani Lindi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo