RAIS KIKWETE AAGA MWILI WA MAREHEMU JAJI HILARY MKATE

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima za mwisho kwa Marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate Jana Oktoba 4, 2013 Kinondoni Dar es salaam.
 Rais Jakaya Kikwete akimfariji Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva baada ya kuaga mwili wa marehemu Jaji Mstaafu Hilary Mkate jana Oktoba 4, 2013 Kinondoni, Dar es salaam.PICHA NA IKULU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo