PICHA CHAFU ZISIZOKUWA NA MAADILI ZA BALOZI MPYA WA VIJANA ZASAMBAZWA MTANDAONI NA WABAYA WAKE



Muimbaji, Adokiye Kyrian, 25, hivi karibuni aliteuliwa kuwa balozi wa vijana katika jimbo 
la Imo n Gavana Rochas Okorocha lakini siku chache baada ya uteuzi huo matukio yake ya nyuma na vijitabia vya ajabu vimekuja kumuwinda.
Imesemekana kuwa miezi michache iliyopita kabla Adokiye hatateuliwa kuwa Balozi wa vijana aliwahi kupiga picha za u2pu na sasa baada ya kuwa kiongozi wabaya wake wamezitoa hadharani.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo