Waandamanaji wakiwa na picha ya mmoja wa viongozi wao.
Gari la matangazo.
Msafara wa kinamama.
Waumini
wa dini ya kiislamu leo waliandamana kwenye kona mbalimbali za jijini
la Dar es Salaam kulaani mauaji ya kionevu aliyofanyiwa mwenzo, Himam
Hussein nchini Iraq.
( PICHA : RICHARD BUKOS / GPL )