IRENE UWOYA APIMA UKIMWI NA MAJIBU YAKE SASA, YATAZAME HAPA UONE

Sio tu watu maarufu bali binadamu wengi huingiwa na uoga kila wanapofikiria swala la kwenda kupima kama wana maambukizi ya virusi vya ukimwi au la na hata akifanikiwa kupima pia ugumu huja pale mtu anapofikiria kwenda kuchukua majibu.

Mama Krish “Irene Uwoya” best actress wa bongomovie awards 2013 ameweka wazi majibu yake ya vipimo vya VVU na kuhamasisha watu wengine wafanye maamuzi ya kwenda kupima afya zao, cheti na maneno ya kuhamasisha watu wengine kupima vyote ndio hivi hapa chini….kwa hisani ya millardayo.com
UWOYA
UWOYA3


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo