UZINDUZI WA KAMPENI YA JAMAL MALINZI KUGOMBEA URAIS WA TFF NI HATAREEEEE

Mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo,iliyofanyika mchana huu kwenye Ukumbi wa Mikutano kwa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.
Vijana wa michezo wakishima Mipira kulingana na Umri wao
Mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo,iliyofanyika mchana huu kwenye Ukumbi wa Mikutano kwa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam
Wajumbe wa vyama vya soka nchini Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa kampeni.Wanahabari na wadau mbali mbali wa Soka nchini wakiwa kwenye Mkutano huo.
Team Malinzi. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo