HIVI NDIVYO KIWANDA CHA OK KILIVYOWAKA MOTO

Malighafi za kiwanda zikiendelea kuteketea kwa moto kabla ya zimamoto kufika katika eneo la tukio.

 Moto ulioleta hofu katika eneo la viwanda la Vingunguti jijini Dar es Salaaam leo, ukiteketeza mali ghafi ya kiwanda cha plastiki cha OK Plastics Limited, ambao ulisambaa eneo hilo na kuleta tafrani baada ya mtu ambaye anashikiliwa na polisi kuchoma mabaki ya malighafi hizo. (Picha na Francis Dande na GPL)


 Mfanyakazi wa kiwanda hicho akitoka katika eneo la tukio.





  Gari la kikosi cha zimamoto likiwasili eneo la tukio ili kuzima moto huo.

Moto umepungua baada ya…


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo