Kiwanda
cha Ok Plast kilichopo Vingunguti Dar es Salaam kinaungua moto.
Habari
za awali zinasema moto huo umesababishwa na kijana aliyekuwa anachoma
mabaki ya plastiki kando ya ghala la kiwanda hicho.
NA LUKAZA BLOG
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi