Kiongozi wa kambi rasmi ya Upinzani Bungeni Mh Mbowe alitolewa nje ya
Bunge leo mchana baada ya kukaidi amri ya Naibu spika Mh Ndugai
alipomwamuru akae na Mh Mbowe kutokutii amri hiyo.
Mh ngudai aliamuru askari wa Bunge kumtoa nje, hata hivyo baadaye wabunge karibu wote wa upinzani walitoka pia isipokuwa Mh. Augustine Mrema wa TLP.