Rais
Jakaya Kikwete akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa ofisi ya Mkurugenzi
Mtendaji wa Wilaya ya Magu eneo la Ilungu karibu na mji wa Magu. Jengo
hilo litagharimu shilingi bilioni 6 na milioni 700 litakapokamilika.
Rais
Jakaya Kikwete ngoma ya utamaduni wilaya ya Magu kabla ya kuhutubia
mkutano wa hadhara uliofanyika katika kiwanja cha sabasaba mjini Magu
Rais
Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa wilaya ya Magu kwenye mkutano
wa hadhara uliofanyika katika kiwanja cha sabasaba mjini Magu. Kwa picha zaidi na John Lukuwi BOFYA HAPA