Mkali wa Azonto 'Nana Richard Abiona'
aka Fuse ODG amewasili leo 6 Sept majira ya saa tisa usiku katika uwanja
wa ndege wa kimataifa Mwl.J.K Nyerere.Ticket kwa shilingi 10000/=
Mlangoni 15000/=
Mkali wa Azonto 'Nana Richard Abiona'
aka Fuse ODG amewasili leo 6 Sept majira ya saa tisa usiku katika uwanja
wa ndege wa kimataifa Mwl.J.K Nyerere.