skip to main |
skip to sidebar
MWENGE WA UHURU WAZINDUA DARAJA LA MILIONI 490 MBAGALA DAR ES SALAAM
uzinduzi
wa mradi wa daraja la kwa Mangaya lililopo wilaya ya Temeke ambalo
limefunguliwa na kiongozi wa mbio za mwenge. Daraja hilo limegharimu
kiasi cha Tsh. Million 490 fedha zilizotolewa na ofisi ya Waziri Mkuu
kitengo cha maafa.
Kuanzia sasa wakazi wa kata ya Mbagala
wataunganishwa vyema na wakazi wa kata ya kiburugwa ambao hapo mwanzo
walikuwa kwenye wakati mgumu wa kuvuka haswa inapofika msimu wa masika
tatizo linakuwa baya zaidi linaloweza kuleta maafa.
Picha zote na Emmanuel Shilatu
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi