 |
|
Waziri
wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe akiwa amesimama juu ya mradi wa maji wa Miganga,
pembeni yake akiwa na Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde katika ziara aliyoifanya
Wilayani Chamwino, mkoani Dodoma.
 |
 |
|
Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe
akiwa pembeni ya mradi wa maji wa Mvumi Misheni, pembeni yake akiwa na Mbunge
wa Mtera, Livingstone Lusinde katika ziara aliyoifanya Wilayani Chamwino, mkoani Dodoma.
|
 |
|
Tanki
la maji la mradi wa maji wa Mvumi Makulu, katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino,
mkoani Dodoma likiwa katika hatua za mwisho kukamilika, katika ziara
iliyofanywa na Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wilayani hapo.
|
 |
|
Waziri wa Maji,
Prof. Jumanne Maghembe (katikati) akiwa amesimama mbele ya tanki la maji la
mradi wa Mvumi Makulu, pamoja na Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde (kushoto)
na Mkuu wa Wilaya ya Chamwino (kushoto), Fatuma Ally katika ziara iliyofanywa
na Waziri huyo wilayani hapo.
|
 |
|
Waziri wa Maji, Prof.
Jumanne Maghembe akizungumza na Mhandisi wa mradi wa maji wa Mvumi Makulu,
Wilayani Chamwino (kulia), katika ziara aliyofanya Waziri huyo wilayani hapo.
|
 |
|
Waziri wa Maji,
Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mvumi Makulu katika
ziara ya kukagua miradi ya maji katika Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino.
|
 |
|
Mkurugenzi wa
Idara ya Maji Vijijini, Wizara ya Maji, Mama Frida Rweyemamu akizungumza na
wakazi wa kijiji cha Mvumi Makulu, katika ziara ya Waziri wa Maji, Prof.
Jumanne Maghembe wilayani Chamwino.
|
(Picha zote na Dennis Henry)