| watu kutoka sehemu mbali za mji wameshiriki mazishi |
| mwili wa marehemu ukiwa katika sanduku watu wakitoa heshima za mwisho |
| mtumishi wa mungu akiomwombea marehemu aende kwa amani |
| hapa msafara kwa ajiri ya kuupeleka mwili wa marehemu katika nyumba ya milele |
| baadhi ya madereva bodaboda wakijadili jambo kabla ya kuupeleka mwili wa marehemu kuzikwa |
| wakazi wa mtaa wa kihodombi wakiwa nyumbani kwa marehemu |