Leo
akiwa anawahutubia wakazi wa mabibo-Sahara kwa mara ya kwanza toka
atoke jela huko gereza la uyui- Tabora ktk mkutano ambao mgeni rasmi
alikua John Mnyika, aliwaliza baadhi ya wananchi waliofika katika
mkutano huo.
Hii kutokana na kuguswa na hotuba ya kamanda Kilewo ambayo
ilikua inahuzunisha kutokana na simulizi ya namna alivyokamatwa na huko
jela namna ya watu waliofungwa pasipo na hatia.
kiukweli inasikitisha, lakini bado alisisitiza kwa kusema 'hakuna
dhambi kubwa hapa duniani kama uoga' na ' watatupiga kwa mabomu na
watatu ua kwa risasi lakini na wao watakufa kwa presha ya dhambi.