skip to main |
skip to sidebar
JESHI LA POLISI LATANGAZA DAU LA MILIONI 10 KWA MTU YEYOTE ATAKAYEFANIKISHA KUPATIKANA KWA WATU WALIO WAMWAGIA TINDIKALI WAZUNGU WAWILI ZANZIBAR
Zanzibar, Tanzania — Kamanda wa Polisi, Kamishna Musa Ali Musa amesema
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeahidi kutoa Shilingi milioni 10/=
kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa zitakazofanikisha kukamatwa kwa watu
waliowashambulia mabinti wawili kutoka Londona, Uingereza, Kirstie Trup
na Katie Gee.Mabinti hao walishambuliwa kwa tindikali usoni,
kifuani na mikononi siku ya Jumatano walipokuwa njiani kuelekea kwenye
chakula cha jioni.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi