WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
Fax: 2460735. email: met@meteo.go.tz
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24
ZIJAZO KUANZIA SAA 3.00 USIKU WA LEO.
TAREHE 10/08/2013.
|
[Mkoa wa Kagera]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Pwani,Tanga na
Dar es salaam]:
[Mikoa ya Morogoro Lindi na
Mtwara]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Mara na Mwanza]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Tabora, Shinyanga
na Kigoma,]:
[Mikoa ya Dodoma, Ruvuma na
Singida]:
[Mikoa ya Rukwa, Mbeya,
Iringa na]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA
NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Kiwango
cha chini cha joto
|
Mawio
(Saa)
|
Machweo
(Saa)
|
|
ARUSHA
|
24°C
|
13°C
|
12:40
|
12:38
|
|
D'SALAAM
|
30°C
|
19°C
|
12:33
|
12:21
|
|
DODOMA
|
27°C
|
15°C
|
12:46
|
12:37
|
|
KIGOMA
|
32°C
|
19°C
|
01:09
|
01:02
|
|
MBEYA
|
24°C
|
09°C
|
12:58
|
12:42
|
|
MWANZA
|
30°C
|
17°C
|
12:53
|
12:52
|
|
TABORA
|
30°C
|
17°C
|
12:57
|
12:50
|
TANGA |
28°C
|
21°C
|
12:32
|
12:25
|
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
20°C
|
12:33
|
12:21
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini Mashariki kwa kasi
ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya
Kaskazini na kwa kasi ya
km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa Kiasi.
Matazamio kwa siku ya Jumatatu:
12/08/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 10/08/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.