WAZIRI
Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye amekemea tabia ya wanasiasa kuwashirikisha
vijana katika rushwa na biashara ya dawa za kulevya maarufu kama unga,
akitaka waumbuliwe.
Aidha, amedai biashara ya kununua kura ni biashara ya gharama kubwa na fedha nyingi hutumika; fedha zikipatikana tokana na biashara chafu kama ya madawa ya kulevya, wakishapata madaraka lazima wazidishe kasi ya biashara hiyo ili warudishe fedha zao walizozitumia na kuongeza nyingine nyingi zaidi kama faida!
Endelea kusoma zaidi ==> http://bit.ly/18kulwe