
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta
na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna
Tibaijuka bungeni mjini Dodoma Agosti 27, 2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mbinga Magharibi Capt. John Komba, bungeni mjini Dodoma Agosti 27,2013.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, ambaye pia
ni Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya bunge Mjini
Dodoma AGOSTI 27,2013.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu