KAMA ni mpenzi wa filamu Bongo basi unaposikia jina la Adam Philip
Kuambiana si jina geni midomoni na hata masikioni mwao, historia ya
kijana huyo wa Kihehe ilifunguka pale alipoigiza filamu ya kwanza
iliyojulikana kwa jina Fake Pastor iliyoandaliwa na mkurugenzi wa Global
Publishers ya jijini Dar es Salaam hapo ndipo Mtwa Kuambiana nyota
ilipowaka.
MSANII WA BONGO MUVI ADAM KUAMBIANA AJIBALISHA MUONEKANO WAKE
By
Edmo Online
at
Tuesday, August 27, 2013