Hofu
kubwa imewapata waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
KKKT usharika wa Kijitonyama, baada ya kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu
kurushwa kanisa hapo.
Polisi wafika kanisa hapo na kuondoka na kitu
hicho.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi