Msanii wa kundi la SUMASESU arts Group Said Mandende akionesha uwezo wa kucheza na moto katika show iliyofanyika jumamosi hii Agosti 3,2013 iliyofanyika katika ukumbi wa Francis Chaula, Makete mjini
Wasanii wa kundi la SUMASESU Arts Group wakiwa jukwaani wakiwajibika kwa mashabiki wao
Msanii wa kundi hilo Clarence Pila maarufu kwa jina la KR akiimba wimbo wa Vilila Avana ambao umebeba jina la albam yao
mashabiki walishindwa kujizuia na kwenda kupiga naye show
hatari lakini salama
Mandende akiwajibika na mautundu ya kuchezea moto
Msanii wa kundi hilo Farida akiimba wimbo wake jukwaani
Farida akiimba wimbo wake aliomshirikisha Roby(kulia)
Farida na Roby wakiwa jukwaani
mashabiki wakishow love na msanii Roby kutoka kundi la SUMASESU wakati akiimba wimbo wake jukwaani
Robby(wa kwanza kushoto) akiwajibika kwenye stage huku akipewa kampani na wasanii wenzake