skip to main |
skip to sidebar
NAPE AKUTANA NA MADIWANI NA WAJUMBE WA KAMATI ZA SIASA BUHIGWE NA KIBONDO
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Ndugu Charles Gishuli .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na madiwani wa CCM na Wajumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Buhigwe.
Madiwani na
Wajumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Buhigwe waliohdhuria kikao
kilichoongozwa na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akivishwa skafu alipowasili katika ofisi za CCM wilaya ya Kibondo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisaini kitabu cha wageni
katika za ofisi za CCM wilaya ya Kibondo sanjali na Mwenyekiti wa CCM
mkoa wa Kigoma Dk.Amani Kaborou.
Baadhi ya
wanachama na wapenzi wa CCM wilaya ya Kibondo wakiwa wamefurika katika
ofisi za wilaya ya Kibondo kumsalimia Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi
Nape Nnauye.
Katibu wa NEC
Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati mkutano
na madiwani na wajumbe wa kamati ya siasa ya wilaya ya Kibondo.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi