HATIMAYE LINEX SUNDAY MJEDA!! LEO HII AMEACHIA TRACK YAKE MPYA INAYOKWENDA KWA JINA LA” KIMUGINA”, WIMBO HUU MPYA AMBAO UMETENGENEZA KWENYE STUDIO ZA SEDUCTIVE RECORD AMBAYO KWA SASA , STUDIO HII NI GUMZO MTAANI KWA JINSI INAVYOTENGENEZA NYIMBO ZILIZOSIMAMA KIKWELIKWELI CHINI YA PRODUCER WA UKWELI MR. T TOUCHES .
LINEX KWA MARA NYINGINE TENA ANAONYESHA UFUNDI NA LADHA YA PEKEE YENYE
VIONYO VYA HUBA NDANI YAKE….ANAMLALAMIKIA KIMUGINA…MTOTO TOKA KANDA YA
ZIWA..! HAKIKA WIMBO HUU NI TASWIRA TOSHA YA LINEX JINSI ANAVYOUMIA KWA
MTOTO KIMUGINA. EBU SIKILIZA WIMBO HUU. KWA HISANI YA http://www.annapita.com
.!!.