mboga zilizopo katika maonyesho ya nane nane katika bustani za JKT Oljoro
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela akiongea na waandishi wa habari
kuhusiana na mambo aliyoyaona wakati akizindua na kutembelea mabanda ya
nane nane.
Picha na Vijimambo Blog