Pichani ni Mwili
wa Mtu aliyekutwa katupwa katika Msitu wa Kibamba Hospitali na
Makondeko Luguruni, ukiwa katika hali mbaya kutokana na kudhaniwa kuwepo
kwa takribani siku 4 na zaidi, mpaka sasa hajatambulika kwa jina,
kutokana na kuharibika.
Kikosi cha Askari kwa kushirikiana na Mjumbe wa
Nyumba kumi kumi, Serikali ya Mitaa, kwa pamoja wamekubaliana kuuzika
Mwili huo Pale alipokutwa katelekezwa. Baadhi ya Askari wakiwa eneo la Tukio kwa Maziko na Uchunguzi.
Hivyo
wameitaka serikali kuongeza jitihada za Ulinzi ususani wakati wa Usiku
katika Bonde la Makondeko kuelekea Kibamba Hospitali. (Picha Zote na
Shaaban Mpalule).
Baadhi
ya wakazi wa Maeneo ya Kibamba na Makondeko, wakijaribu kutambua Mwili
huo ambao umekutwa Eneo alikokutwa katelekezwa, Bondeni kutoka katika
Daraja la Kibamba Hospitali na Makondeko.
Baadhi ya
wakazi wa Maeneo ya Kibamba na Makondeko, wakijaribu kutambua Mwili
huo ambao umekutwa Eneo alikokutwa katelekezwa, Bondeni kutoka katika
Daraja la Kibamba Hospitali na Makondeko.