Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mkono Viongozi na
wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliofika uwanjani kumlaki.
Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana .
Mwenyekiti
wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa Kamati Kuu Ndugu Adam Kimbisa.
Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Ndugu Khamis Sadifa Juma.
Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mtumishi wa Chama Cha Mapinduzi ndugu Octavian Kimario .
Watumishi
na wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakishangilia kwa furaha ujio wa
Mwenyekiti wa CCM Taifa , Rais Jakaya Mrisho Kikwete mara tu alipowasili
Dodoma tayari kwa Mkutano wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu Taifa ya
Chama.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akibadilishina mawazo na Mjumbe wa
Kamati Kuu Ndugu Stephen Wassira kabla ya Kikao cha Kamati kuanza leo
Dodoma kwenye Ukumbi wa NEC.
Wajumbe
wa Kamati Kuu wakijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa NEC kabla ya
kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu,Dodoma 23 Agosti 2013.
Mjumbe wa NEC, Prof. Anna Tibaijuka akipitia Katiba ya Chama kabla ya kuanza kwa Kikao cha Kamati Kuu ndani ya ukumbi wa NEC.











