Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamau wa Rais - Mazingira,Mh. Dkt Terezya Huvisa
akiwa ndani ya boti wakati akitembelea Delta ya Rufiji kujionea uharibu
wa mazingira wa ukataji wa mikoko,katika ziara yake mkoani Pwani.
Mkuu wa Wilya ya Rufiji,Mh. Nurdin Babu, akizungumza na wananchi wa kitongoji cha Bunwa katika wilaya ya Rufiji.
uharibifu wa mazingira uliofanywa na wafugaji na wakulima katika bonde la mto rufiji
juu ya suala la usafi wa mazingira.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamau wa Rais - Mazingira,Mh. Dkt Terezya Huvisa
akitia sahihi katika kitabu cha wageni wakati wa ziara yake katika Mkoa
wa Pwani,Wilani Rufiji.katikati ni Mkuu wa wilaya ya Rufiji Bwana Babu
na kulia ni mwenyekiti wa ccm wilaya.