MRISHO NGASA AINGIA KWENYE SKENDO NZITO BAADA YA MKANDA WAKE WA FARAGHA KUSAMBAA MTANDAONI

 
Mshambuliaji wa timu ya taifa stars na mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, ameingia kwenye scandal nzito baada ya kile kinachoonekana kuwa mkanda wake wa ngono kuvuja mtandaoni

Mkanda huo ambao ni rahisi kuuona kama mtu "akigoogle" jina lake, unamuonesha mchezaji huyo akiwa kwenye suti ya kuzaliwa pamoja na msichana wakivunja amri ya sita.

Huku kukisikika muziki wa aina mbalimbali ukiwemo wa raggae, wapenzi hao wanasikika wakizungumza kucheka wakati wakiendelea na tendo hilo.

Bado mchezaji huyo hajazungumza chochote kuhusiana na mkanda huo ambao inadaiwa unauzwa kama njungu mtaani.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo