Mdau
Fredy Anthony ambaye ni Head of Group Research and Product Development
wa Tone Multimedia Group, akiwa Nje ya ukumbi wa Dewan Tun Canselor
Mara baada kupata shahada yake ya pili (Master of Business
administration - Multimedia Marketing) katika Chuo kikuu cha
Multimedia kilichopo Malaysia.
Mdau Fredy Anthony akiwa katika Picha ya Pamoja na Marafiki walio msindikiza katika Mahafali hayo.