Mwenyekiti
Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa Kitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa Wateja Wakubwa cha
benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kushoto kwake ni Mkurugenzi
Mtendaji wa NBC, Mizinga Melu na kulia kwa Mengi ni Mkuu wa Kitengo
hicho, Andrew Massawe.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu akizungumza katika
hafla ya uzinduzi wa Kitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa Wateja
Wakubwa cha NBC jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Mizinga Melu (kushoto)
akiwatambulisha baadhi ya maofisa katika kitengo hicho katika hafla
hiyo.
Mwenyekiti
Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi (katikati) akifurahi na
Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Mizinga Melu (kushoto) na Mkuu wa Idara ya
Huduma za Kibenki kwa Wateja Wakubwa na Uwekezaji, Andre Potgieter
katika hafla ya uzinduzi wa Kitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa
Wateja Wakubwa cha benki hiyo jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti
Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi (katikati) akishikana
mikono na Meneja Uhusiano wa NBC, Makyalen Marealle katika hafla ya
uzinduzi wa Kitengo cha Huduma Binafsi za Kibenki kwa Wateja Wakubwa cha
benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa
Kitengo hicho, Andrew Massawe na Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Mizinga
Melu.
Mwenyekiti
Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi (katikati) akihojiwa na
waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya uzinduzi wa
kitengo hicho. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Mizinga Melu.