skip to main |
skip to sidebar
MAJAMBAZI YAJERUHI VIBAYA KWA RISASI MKOANI ARUSHA
Watu wanaosadikiwa kuwa Majambazi jijini Arusha wamewapiga risasi wafanyabiashara 2 wa madini ya Tanzanite na kuwajeruhi vibaya.
majeruhi hao wamekimbizwa hospitali ya mount meru Arusha na hali zao si nzuri
Taarifa zaidi utazipata hapa hapa
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi