KITENGO CHA KUDHIBITI UGONJWA WA MALARIA ZANZIBAR CHAFANYA MKUTANO NA WANDISHI WA HABARI JUU YA MIKAKATI YA KUMALIZA MALARIA ZANZIBAR

Kaimu Meneja wa Kitengo cha kudhibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Mwinyi Issa Mselem akifafanu kitu juu ya mikakati ya kumaliza Malaria Zanzibar katika mkutano na Waandishi wa Habari, huko katika ukumbi wa kitengo cha kudhibiti Malaria mwanakwerekwe Zanzibar.
Mtaalamu wa mbu waenezao Malaria katika Kitengo cha kudhibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Khamis Ameir, akionyesha moja mbu waenezao Malaria katika mkutano na Waandishi wa Habari huko katika ukumbi wa kitengo cha kudhibiti Malaria mwanakwerekwe Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliokuwepo katika ukumbi wa kitengo cha kuzibiti Malaria mwanakwerekwe Zanzibar, wakifuatilia kwa makini taarifa ya Kaimu Meneja wa Kitengo cha kudhibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Mwinyi Issa Mselem hayupo pichani.
Mwandishi wa Habari Juma Abdallah wa Zenji Fm Radio akiuliza suali kwa Mtaalamu wa mbu waenezao Malaria katika Kitengo cha kudhibiti Malaria Zanzibar (ZMCP) Khamis Ameir (hayupo pichani) juu ya mikakati ya upigaji dawa huko katika ukumbi wa kitengo cha kudhibiti Malaria mwanakwerekwe Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga Maelezo Zanzibar).


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo