Mwanzo
wakati naambiwa mume wangu kapewa mashtaka ya ugaidi, kiukweli
nilichanganyikiwa, Thanx God nilikuwa naamini kuwa atasimama upande wetu
tu.. Ila kila mara nilikuwa nikiongea na Mwanasheria wetu mwanasheria
msomi Peter Kibatala alikuwa ananihakikishia na ALINIAHIDI kuwa
ATAMRUDISHA MY HUBBY HOME, thanx God, Mume wangu amefutiwa mashtaka ya
Ugaidi.
|
Wakili Msomi, Peter Kibatala Mungu akupe maisha marefu... Kazi Yako Nimeikubali na nashukuru sana. |
|
Yes wamenigusa pabaya usicheze na Mume. Mume anauma! Jana maeneo ya mahakamani Tabora. |
Welcome Home Hubby. Mtima wangu
|
Boys, Dadii anarudi home soon.chanzo: joyce kiria website | |
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi