Mhe
Pereira Silima Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa Usalama Barabarani leo amezungumza na
waandishi wa habari katika ukumbi wa Wizara na kutoa taarifa ya
maadhimisho ya Kitaifa ya wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani Mkoani
Mwanza 23/09/13 - 27/09/13.
====== ======= =======