
Hivi ndivyo mabaki ya nyumba hiyo ambaye mmiliki wake hakujulikana mara moja inavyo onekana

Haya Ndiyo Magari yaliyo teketea kwa moto, ambapo eneo ambalo nyumba hiyo iliunguwa ilikuwa karibu na Garage

Baadhi ya Mabaki katika Nyumba hiyo

Baadhi ya Wananchi waliofika Alfajiri kushuhudia Maafa hayo.
Ibrahim Mlisy
Na Dar es salaam yetu Blog