skip to main |
skip to sidebar
MAMA SALMA KIKWETE AONGOZA MAMIA KUMZIKA GEORGE MWAIKELA
MKE wa Rais,Salma Kikwete akiaga mwili wa marehemu, George Mwaikela
ambaye ni mwana familia wa Kikwete na Mwenyekiti wa Chama Cha Wachimba
Madini mkoa wa Mbeya (MBEREMA)aliyefariki kwa ajali ya gari jijini Dar
es salaam na kuzikwa kijijini kwao, Ngujibwaji,Tukuyu.Picha na
Christopher Nyenyembe
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi