RAIS KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WASHIRIKI MAZIKO YA ASKOFU KULOLA JIJINI MWANZA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho na kuweka udongo katika kaburi la aliyekuwa Muasisi na askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT Marehemu Dkt. Moses Kulola wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika katika viwanja vya kanisa huko Bugando Mwanza jana.

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Bibi.Elizabeth Kulola mjane wa Marehemu Askofu Dkt.Moses Kulola,aliyekuwa muasisi na Askofu Mkuu wa Kanisa laEAG(T) wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika viwanja vya kanisa huko Bugando Mwanza Jana. 
Picha na  Freddy Maro - Ikulu


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo